Mashindano ya Kimataifa ya Qurani Malaysia

IQNA

IQNA – Msimu wa 66 wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia ulihitimishwa rasmi katika hafla iliyofanyika mjini Kuala Lumpur siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3482893   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/11

IQNA-Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Masuala ya Dini) wa Malaysia, Zulkifli Hasan, amewahimiza Waislamu kutoichukulia Qur’ani kama maandishi ya kusomwa na kuhifadhiwa pekee, bali kufahamu na kutekeleza mafundisho yake kama mwongozo katika kuunda mawazo, maadili, tabia, na maisha yao ya kila siku.
Habari ID: 3482888   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/11

IQNA– Sherehe za kufunga Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia zilifanyika jijini Kuala Lumpur siku ya Jumamosi asubuhi.
Habari ID: 3482887   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/10

IQNA– Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika toleo la 66 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia, alipanda jukwaani na kuwasilisha kisomo chake katika tukio hilo la hadhi ya juu siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3482882   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/09

IQNA —Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia yamefunguliwa rasmi leo, Jumanne, tarehe 6 Oktoba 2026, jijini Kuala Lumpur. Tukio hili la kihistoria linawakutanisha mahafidhi na wasomaji mahiri kutoka pembe zote za dunia, likiwa kielelezo cha uhai wa mapenzi ya Ummah kwa Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3482870   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/10/06